1% hii ya watu hawa matajiri hawana tofauti sana kwa njia ambazo wanapata pesa. Yafuatayo ndiyo ambayo huwapatia pesa nyingi kila siku hawa matajiri:
Mali isiyohamishika.
Uhhh. Umeona hili katika kila jibu la kutengeneza pesa haraka kwenye mitandao. Kuna njia chache nzuri za kupata mapato kutoka kwa nyumba na vyumba ambazo labda haujawahi fikiria.
Kukodisha.
Maelezo rahisi sana: Tajiri ana pesa ya kukodi vyumba vya ghorofa, wacha tuseme vyumba 14. Kila chumba ni $ 25 kwa mwezi. Hii inamgharimu $ 350 ya dola kila mwezi, jumla. Ana timu yenye nguvu ya uuzaji na inafanya uwezekano wa watu kukaa katika nyumba vyake… $ 2 kwa usiku. Kusafisha na huduma zingine kujumuishwa humo pamoja.
Ghafla, ikiwa watu wa kutosha wananunua hii, mtu huyu tajiri anatengeneza $ 10220 kwa mwaka. Kulipa ushuru na kulipa watu kusafisha, anapata $ 85 kwa urahisi. Hii ni $ 708.3333 kwa mwezi. Faida yake ni $ 358.3333 za bure kwa mwezi (mara mbili, au faida ya 50%). Jamaa huyu tajiri katika mfano huu ana ingiza $ 4300 kwa mwaka.
Wapangaji.
Maelezo mengine mazuri, sawa na hayo hapo juu: Mtu mwingine tajiri ana pesa za kununua vyumba. Ananunua, sio kukodi! Kila chumba katika ghorofa ni $ 1500. Ananunua 10. Hii ni $ 15000. Ikiwa ana bahati ya kutosha, anapata wapangaji 10. Kila mpangaji analipa $ 25 kwa mwezi. Kwa jumla, yeye hupata $ 250 kwa mwezi.
Kwa mwaka, na ukodishaji wote wa vyumba 10, anapata $ 3000. Katika miaka 5 ya wapangaji, anakuwa kaisha rudisha pesa yake ya mtaji. Sasa, atapata $ 3000 kila mwaka kwa maisha yake yote…ikiwa anaweza kupata na kudumu nao wapangaji.
Kununua Stoo/Maduka.
Ulisikia hiyo? sawa!. Wakati mamilionea au mabilionea wanapata pesa za kutosha (kihalali au kinyume cha sheria), wanapata mahali pa kuziweka zijizalishe. Sehemu bora ni stoo/maduka. Maduka bora ni….umekisia, vinywaji, mboga, chakula, au vituo vya gesi na mafuta (sheli).
Viwanda hivi vya mabilionea huruhusu kampuni kutuma bidhaa kwa wasambazaji kusambaza. Wakati duka linauza, wanaweza kupanga bei zao kwa faida yao inayozalishwa. Unafanya vibaya mwezi huu? Weka bei juu. Unafanya vizuri mwezi huu? Endelea kupandisha bei.
Maduka ya Vinywaji.
Una $ 60,000. Unanunua duka la vinywaji. Duka hili lina usafirishaji wa kawaida na mkondo wa mapato wa $ 15,000. Katika miaka 8, utapata $ 120,000 na kurudisha faida ya $ 60,000. Miaka 25 badae.? $ 375,000 na kurudi kwa $ 315,000.
Kununua kampuni.
Hii inaweza kuonekana kuwa wazo hafifu/dhaifu kwako ikiwa wewe sio mtu wa kampuni au hupendi tu kuona watu wakinunua kazi za watu wengine, lakini hii ni kubwa, moja ya mali yenye faida zaidi ambayo unaweza kuwa nayo kwenye orodha yako.
Ukiwa na mamilioni au mabilioni katika benki, unaweza kuwa na uwezo wa kupata kampuni, timu, viwanja, na wachuma pesa wengi sana. Tumia hii kwa faida yako!
Unaweza kununua Akaunti za biashara mitandaoni (media za kijamii kama Instagram).
Akaunti inaweza kua na uwezo wa kuingiza $ 20 kwa siku, nawe ukainunua kwa $ 12,000. Baada ya miaka miwili utakua umeisha rudisha mtaji wako, na kuanza kupata faida.
Kumbuka: Hili ndilo jambo la hatari zaidi unaloweza kufanya: wekeza katika biashara yenye mafanikio kuanzia 80%-100% na utarajie faida baada ya kampuni kuimiliki. Ni 0.001% tu ya watengeneza pesa kwenye sayari yetu wanaweza kujaribu kitu kama hiki na kuendelea kuishi baadaye.
Huyu ni Elon Musk.
Alifanya vitu vingi vilivyoorodheshwa hapo juu, kwa njia yake mwenyewe. Alitengeneza kampuni, akaiuza, na akatumia pesa hizo kuzizalisha zaidi.
Alifanya hivyo kwa njia za miujiza:
- Kampuni ya utafiti wa anga na vilivyomo.
- Kampuni ya magari ya umeme na yenye kujiendesha.
- Kampuni ya AI
- Kampuni ya betri
- Kampuni ya umeme wa jua
- Kampuni ya benki
Eloni. Huyu ndiye mfano bora wa kufanikiwa 1% katika ulimwengu wa pesa.
Natumaini umejifunza kitu kutoka kwa hii nakal. Ilichukua muda kuweka pamoja maoni haya yote ya kutengeneza pesa kutoka kwa kwa matajiri zaidi, lakini natumai unaanza kuona muundo na ufanyaji wao wa machache.
0 Comments