Habari kama hizi 👇👇👇zinahitajika sana na siyo zile za kufanya watu wapanic
Habari Njema ??
-China imefunga hospitali yake ya mwisho ya Corona Virus. Hakuna maambukizi mapya ya kutosha kufanya hospitali hizo ziendelee kuwepo.
- Madaktari nchini India wamefanikiwa kutibu maambukizi ya virusi vya Corona. Mchanganyiko wa dawa uliotumika ni Lopinavir, Retonovir, Oseltamivir pamoja na Chlorphenamine. Wanatarajia kupendekeza matumizi ya dawa hizi duniani kote.
-Watafiti wa kituo cha Erasmus Medical Center wanadai kuipata kinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona.
-Mkongwe wa miaka 103 kutoka Nchini China amepona kabisa maambukizi ya COVID-19 baada ya kutibiwa kwa siku 6 mjini Wuhan, China.
- Kampuni ya Apple imefungua ofisi zake zote 42 nchini China.
-Kliniki ya Cleveland imetengeneza kipimo cha COVID-19 chenye uwezo wa kutoa majibu ndani ya masaa kadhaa, na sio siku.
-Habari njema kutoka Korea Kusini ambapo maambukizi mapya yameendelea kupungua.
- Italy imeathiriwa zaidi, wataalamu wanadai kwamba hii imetokana na kuwa na idadi kubwa ya wananchi wenye umri mkubwa kuliko nchi zote barani Ulaya.
-Wanasayansi huko nchini Israel wanatarajia kutangaza utengenezwaji wa Kinga ya Corona.
- Wagonjwa watatu wa maambukizi ya Corona mjini Maryland wamepona kabisa maambukizi hayo na wapo fiti kurudi katika mihangaiko ya kila siku.
- Jopo la wanasayansi wa nchini Canada wamefikia hatua nzuri ya utafiti wa COVID-19
- Kampuni ya San Diego Biotech kwa kushirikiana na chuo cha Duke na Chuo cha taifa cha Singapore, wanatengeneza chanjo ya COVID-19.
-Mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 katika jimbo la Tulsa amepona. Mgonjwa huyo alipimwa mara mbili na majibu kuwa hasi, kiashiria kwamba amepona.
-Wagonjwa wote 7 waliokua wakipatiwa matibabu katika hospitali ya Safdarjung mjini New Delhi wamepona.
- Utegili(Plasma) ya mtu aliyepona maambukizi ya COVID-19 inaweza kutumika kuwatibu wagonjwa wenye maambukizi mapya.
NA MGONJWA WA AWALI NCHINI UFILIPINO, AMEPONA.
Kwahiyo, Sio kila wakati tunapata habari mbaya❤.. Tuendelee kujaliana na kuwaangalia zaidi wale wenye hatari ya kupata maambukizi.
Habari zote hizi zimethibitishwa..

0 Comments